Maadhimisho ya Siku ya Sheria Mawakili Watoe Elimu ya Sheria Kwa Wananchi wa Kijiji cha Donge Unguja.

Mmoja ya Mawakili akitoa ufafanuzi kuhusu Sheria ya ardhi kwa Wananchi wa Donge vijibweni  ambao wanamskiliza.Wakili wa Serikali Hamisa Mmanga Makame akitoa elimu kwa Wananchi wa Donge vijibweni juu ya kupiga Vita udhalilishaji na Migogoro ya ArdhiWananchi wa Donge vijibweni wkilisiliza kwa makini wakati wakipatiwa Elimu  ya  udhalilishaji na Migogoro ya Ardhi ikiwa ni shamra shamra za maazimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12.Picha na Miza Othman – Habari Maelezo- Zanzibar.Na Miza Othman –Maelezo Zanzibar.       07/02/2018.Katika kuadhimisha wiki ya Sheria Zanzibar, Mawakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wameendelea...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News