Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.

Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Haroun Ali Suleiman akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo kuhusu maadhimisho ya Siku ya mapambano ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar huko Ofisini kwake Mazizini.Mkurugenzi  wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Makame Khamis Hassan akitoa maelezo juu madhimisho ya siku ya mapambano ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar.Wafanyakazi wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) wakifuatilia Mkutono wa Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News