Maadhimisho ya ‘Siku ya Afya ya Meno’ duniani

MWAKILISHI wa jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said, akizungumza na wanafunzi wa skuli ya msingi Unguja Ukuu, wakati wa zoezi la kupima afya ya kinywa na meno lililoendeshwa na jumuiya ya HIPZ kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar skulini hapo leo Machi 7, 2018. (Picha na Haroub Hussein). DAKTARI Feroz Jafferji ambaye ni mratibu wa jumuiya ya HIPZ, akimchunguza kinywa mwanafunzi wa skuli ya Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja ili kujua iwapo ana ubovu wa meno, wakati jumuiya hiyo ilipotoa mafunzo ya kupiga mswaki vizuri. (Picha na Haroub Hussein-Zanzibar). Dk...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News