LYYN: MASHABIKI WA ZARI WALIFANYA NIUCHUKIE UMAARUFU

KARIBU msomaji wa safu hii inayokupa nafasi ya kuwauliza maswali mastaa uwapendao nao wanakujibu hapa hapa bila chenga, kwa kufungua mwaka 2018, nimeona si jambo baya nikusogezee mahojiano niliyofanya na mrembo aliyetikisa tasnia ya burudani mwaka jana anayeitwa Irene au Lyyn, ambaye ni video queen aliyenogesha video mbili za Rayvanny, Kwetu na Natafuta Kiki upate kumfahamu zaidi. SWALI: Ni kweli ulikataa kufanya video ya Abdul Kiba kwa sababu ya malipo madogo na ukakubali kufanya video ya Kwetu ya Rayvanny? Irene: Sikukataa kwa ajili ya malipo ila Abdu Kiba aliponitafuta nilikuwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News