LWANDAMILA AMTETEA CHIRWA KWA MASHABIKI

Lwandamina amewataka mashabiki wa timu hiyo mambo ya kombe la Mapinduzi na kuangalia michuano inayowakabili mbele yao Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina, amemtetea mshambuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa, kuwa mkwaju wa penalti aliokosa ilikuwa na bahati mbaya na hakufanya makusudi kama mashabiki wanavyodai. Lwandamina amesema, vitu kama hivyo hutokea kwa mchezaji mwenye uwezo wa kupiga penati kama Chirwa hivyo haoni sababu ya mashabiki kumlaumu kwasababu hakukusudia. “Hatupaswi kumpa lawama kwasababu siku nyingine anaweza kukataa kufanya hivyo, na vitu kama hivyo ni kawaida kutokea kwa mchezaji mwenye kiwango kama...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News