LIVER WALEGEA KWA COUTINHO

LIVERPOOL wamekubali kumuuza Philippe Coutinho katika dirisha dogo la usajili endapo Barcelona watatoa dau la pauni mil 160. Tayari Barca wameshatuma wawakilishi wao katika Jiji la Liver kwa ajili ya kukamilisha dili hili kabla ya Januari 6. The post LIVER WALEGEA KWA COUTINHO appeared first on Gazeti la Dimba....

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News