LISSU ALIVYOUMIA

Na NORA DAMIAN – DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji, amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi wiki iliyopita mkoani Dodoma na watu wasiojulikana, amevunjika nyonga, miguu na mkono. Alisema Lissu ambaye anatibiwa nchini Kenya, amevunjwa mguu wa kulia zaidi ya mara tano, mguu wa kushoto, nyonga na mkono wa kushoto. Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam jana kuhusu hali ya Lissu, Dk. Mashinji alisema anaendelea vizuri ingawa juzi hali...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News