Lipuli FC yapambana na Kamati ya Saa 72

Uongozi wa Klabu ya Lipuli FC ya Iringa umepinga uamuzi uliyotolewa na Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Kuu maarufu Kamati ya Masaa 72 baada ya kutupilia mbali ombi la kufutwa kwa kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wao, Asante Kwasi....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News