LEO NI SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI DUNIANI

Leo June 13 ni siku ya Uelewa wa watu wenye Ualbino Duniani ambapo kwa Tanzania kitaifa inafanyika mkoani Simiyu. Pamoja na kampeni mbalimbali jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi bado inaishi kwa mashaka kutokana vitendo vya imani potofu ambavyo vinaendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali vikilenga watu wa jamii hiyo. Watu wenye ulemavu kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya ukosefu wa upendo kutoka kwa baadhi ya watu wenye imani potofu wanaowauwa au kuwasababishia ulemavu kwa ajili ya kuhitaji viungo vyao. Kilio kikubwa kwa watu wenye ulemavu...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News