Lemutuz Amkingia Kifua Diamond....Amtuhumu Naibu Waziri Kushirikiana na Watu Kumshusha Diamond

Wakati BASATA wakimtuhumu Diamond kulewa na umaarufu na kufanya abishae na Naibu waziri ambaye anawakilisha Serikali, bado huko katika mitandao ya kijamii watu wamezidi kuonyesha hisia zao juu ya jambo hilo kwa kudai kuwa Naibu waziri anatafuta kiki kwa lengo la Kumshusha Diamond.Mwanahabari  na Blogger, Le Mutuz ameibuka na kudai kwa Naibu Waziri amekuwa akitumiwa na watu wenye chuki kubwa na muziki wa Diamond ili kuua muziki wake na sio vinginevyo.Le Mutuz anasema kuwa  huu ulikuwa ni wakati wa serikali kuona mchango wa Diamond hasa baada ya kuchaguliwa kwenda...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News