Labda kocha wa Mbao ana vitu ambavyo hatuvifahamu

SAA sita kabla ya mwaka huu haujaingia siku ya juzi Jumapili, Yanga walikuwa wakichezea kichapo cha mabao 2-0 safi kutoka kwa Mbao FC. Sikusikia malalamiko. Niko mbali, Afrika Kusini. Sikuiona mechi, lakini najishawishi kwamba kilikuwa kipigo safi kwa sababu sikusikia malalamiko....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News