Kwa mara ya kwanza Mahakama nchini Nigeria imefanikiwa hili

Taarifa kutoka Nigeria leo February 13, 2018 ni kwamba Mahakama nchini huo kwa mara ya kwanza kwenye historia imetoa hukumu ya kwenda jela mtu mmoja kwa kukutwa na hatia ya kuwa sehemu ya kikundi cha ugaidi cha Boko Haram ambacho kimekuwa kikiteka watu. Mwanaume huyo ajulikanaye kwa jina la Haruna Yahaya, 35, ndiye mtekaji wa kwanza […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News