KWA HILI LA NGOMA, ANGALAU YANGA WAMEONYESHA UKOMAVU

NA EZEKIEL TENDWA TIMU zetu hizi kongwe za Simba na Yanga, zimekuwa zikiabudu wachezaji wa kimataifa ambao kwa namna moja ama nyingine, wanajiona kama wafalme kutokana na kupendwa na mashabiki. Hakuna asiyekumbuka namna Emmanuel Okwi, alivyokuwa akiwachezesha Simba ngoma ya Kiganda, kipindi cha nyuma kiasi kwamba kuweza kuwapeleka Kaskazini, wakakubali, akawarudisha Kusini, wakamfuata tu na hata pale alipowarudisha Magharibi na Mashariki waliendelea kumtii. Okwi ni kama alikulia Simba na akawa anawajua tabia zao ndiyo maana alifanya kila aliloliona yeye linafaa, lakini asiulizwe kitu japo kwa sasa angalau anaonekana kama amekuwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News