Kutoka Dodoma Rais Mpya wa TFF ametangazwa rasmi

Kutoka mjini Dodoma katika ukumbi wa St Gasper ulipofanyika mkutano mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF, mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Revocatus Kuuli ametangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa TFF kwa wajumbe, makamu na Rais wa TFF. Aliyekuwa makamu wa Rais na kaimu wa Rais wa TFF Wallace Karia ametangazwa rasmi kuwa Rais mpya wa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News