KUFUATIA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT, RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Februari 16, 2017 eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Katika salamu hizo, Rais Dkt Magufuli amesema kwamba amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo hicho na hivyo ameviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakaobainika kuhusika na tukio hilo. “Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Sunday, 18 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News