KUBENEA: SIONDOKI CHADEMA LABDA NIFE

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea leo ameondoa utata wa uvumi wa kuondoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kusema kuwa hana mpango wa kuhamia chama hicho labda awe amefariki. Amesema hana nia wala dhamira ya kuondoka katika chama hicho kwani amejenga jina lake kwa zaidi ya mika 15 hadi kupata ubunge uwanja ambao ni mpana hawezi kusaliti wananchi wa Ubungo na wengine waliojinyima kwa kumpigania katika safari yake kisiasa. “Siwezi kuondoka Chadema labda niwe nimekufa au jambo jingine litokee. Kuna watu nimewashawishi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News