KUBENEA AVUNJA UKIMYA

  Na AZIZA MASOUD -DAR ES SALAAM WAKATI Kamati Kuu ya Chadema, ikikutana na kutarajiwa kutoa uamuzi wake leo, Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema), amesema hana bei na hakuna fedha itakayoweza kumnunua na hana mpango wa kuhamia CCM. Alisema siku zote hujali utu zaidi kwa sababu  heshima waliompa wapiga kura wake ni kubwa kwake. Akizungumza na waandishi wa habari  Dar es Salaam jana, alisema taarifa zilizogaza dhidi yake kuhusishwa   kujiunga na CCM  na kujiuzulu ubunge si za kweli. “Napenda niwahakikishie sijawahi kuzungumza na chombo chochote cha habari kwamba nina...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News