Kubenea amjia juu Mwigulu

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Lameck Nchemba, kujiuzulu mara moja wadhifa wake. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari mchana wa leo Jumatano, jijini Dar es Salaam, Kubenea amesema, Mwigulu anapaswa kujiuzulu, kufuatia jeshi la polisi, kutuhumiwa kumminia kwa risasi, Akwilina Akwilini, mwanafunzi wa mwaka wa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 21 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News