KOREA KUJENGA VIWANDA VYA MAGARI NCHINI

Na KULWA MZEE – DAR ES SALAAM BALOZI wa  Korea Kusini   nchini, Geum-Young Song, amesema serikali yake  inakusudia kuanzisha viwanda vya kutengeneza na kuunganisha magari nchini. Balozi Song alisema hayo jana alipokutana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi kwa   mazungumzo. Balozi huyo alisema Korea Kusini inaomba msaada wa Mwenyekiti,  Dk. Reginald Mengi  katika kufanikisha  ujenzi wa viwanda hivyo. Dk. Mengi alisema walishakuwa na mpango wa kuanzisha mradi wa kiwanda hicho na Syri Lanka lakini kwa kuwa Korea wameonyesha ushirikiano watashirikiana nao kufanikisha malengo hayo. Alisema Serikali ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News