KOREA KASKAZINI KUONYESHA UIMARA WA JESHI LAKE KABLA YA OLIMPIKI

Magwaride ya kijeshi ya hapo awali yamekuwa yakionyesha uwezo wa kijeshi Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 ya gwaride la jeshi lake kabla ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini. Gwaride la kila mwaka la Pyongyang linaloadhimisha kuanzishwa kwa jeshi la Korea Kaskazini limekuwa likifanywa kila mwezi Aprili kwa kipindi cha miaka 40. Hatahivyo vyombo vya habari nchini humo vilitangaza mapema mwaka huu kwamba tarehe ya kufanyika kwa gwaride hilo la kijeshi imebadilishwa hadi Februari 8. Korea Kaskazini imepuuzilia mbali ukosoaji wa mpango...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News