Kocha Township Rollers aingiwa kiwewe soka la Yanga

Kocha wa Township Rollers, Nikla Kavazovic ameitahadharisha timu yake kuwa watambue kwamba wanakutana na klabu ngumu ya Yanga  ambayo ni miamba wa soka hapa nchini, huku akisisitiza kwamba kikosi chake kitawajibu kwa kushambulia wakati wote....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News