KLOPP ATULIZA PRESHA YA COUTINHO

JURGEN Klopp amewatoa hofu mashabiki wa Liverpool, akisema kuwa hawana mpango wa kumuuza, Phillipe Coutinho, ili kurejesha kiasi cha fedha walichotoa kwa ajili ya Virgil van Dijk. Liver walilipa pauni milioni 75 kwa Southampton kwa ajili ya VVD na mashabiki kuamini kuwa Coutinho atawekwa sokoni ili kubalansi mfuko wa klabu. The post KLOPP ATULIZA PRESHA YA COUTINHO appeared first on Gazeti la Dimba....

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News