Kiwanda cha mafuta Pemba chamaliza hasara

SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) limesema, miaka ya nyuma kiwanda chake cha mafuta ya mimea kilichopo Pemba kilikuwa kikipata hasara ya shilingi milioni 310 kwa mwaka lakini sasa kinapata faida ya shilingi milioni 100 kwa muda huo....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News