Kitu Waziri Mwigulu amewaambia Watanzania kuhusu JPM, makinikia (+Video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuhakikisha rasilimali za nchi zinalindwa na kuheshimika hasa katika kipindi hiki cha issue ya mchanga wa madini. Waziri Nchemba ameyasema hayo akiwa kwenye ziara Jimboni kwake Iramba Magharibi ambapo amewataka Watanzania kuungana na kumuombea Rais ili aendelee […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News