Kitu Papii Kocha kamfanyia Rais JPM

December 9,2017 katika maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Rais John Pombe Magufuli alitoa msamaha kwa baadhi ya wafungwa  waachiwe huru akiwemo Babu Seya na mwanae Papii Kocha kitu ambacho hakikutegemewa na wengi. Papii Kocha ameamua kuchora tattoo ya jina la Rais JPM katika mkono wake wa kulia na wengi kutafsiri kitu hicho […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News