Kitu Msuva kaandika baada ya kusikia Mahadhi kapiga magoti kuomba msamaha

Siku moja baada ya Juma Mahadhi kuomba msamaha kwa viongozi wa Yanga na mashabiki ambao wamekuwa wakilalamika kuwa ameshuka kiwango kwa uzembe. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambaye anacheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva ametumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe huu baada ya kuona Juma Mahadhi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News