Kipa Pickford ajiandae makombora ya Croatia

Gwiji wa zamani wa soka nchini Mexico, Jorge Campos, ameonesha kumzimikia zaidi kipa wa England, Jordan Pickford lakini ametahadharisha kuwa kipa huyo, ategemee upinzani mkubwa kutoka kwa kikosi cha Croatia, watakapokutana usiku wa leo, katika mechi ya nusu fainali ya pili....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi Michezo - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News