Kiongozi wa Boko Haram amshukia Rais Buhari kwa alichosema katika sikukuu ya Mwaka Mpya

Kiongozi wa kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau, ameonekana kwenye mkanda mpya wa video ikiwa ni saa 24 baada ya Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kutangaza hadharani kuwa kikundi hicho kimesambaratishwa. Shekau amekiri kundi lake kuhusika katika matukio ya hivi karibuni nchini Nigeria katika maeneo ya Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo ikiwemo lile tukio […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News