Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau Ajitokeza Tena

Kiongozi wa kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau, ameonekana kwenye video mpya karibu saa ishirini na nne baada ya Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kwa mara ingine kutamka hadharani kuwa kikundi hicho kimesambaratishwa. Huu ni mkanda wa video wa kwanza kutolewa na Shekau baada ya kimya cha miezi kadhaa iliyopita, naye ni mongoni mwa viongozi wanaosakwa kwa hamu na ghamu na kupewa sifa ya kuwa miongoni mwa magaidi wanaosakwa na Marekani pamoja na mamlaka ya Nigeria. Abubakar Shekau anaonekana kwenye mkanda huo wa video akiwa ameketi peke...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News