Kinapa kutumia Marathon kutangaza mti mrefu Afrika

HIFADHI ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro, (Kinapa), inakusudia kuzitumia mbio za Kili Marathon zinazofanyika kila mwaka mkoani Kilimanjaro, kutangaza zaidi vivutio vya utalii vilivyopo sanjari na mti mrefu, kuliko yote barani Afrika uliogundulika ndani ya msitu wa hifadhi hiyo....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News