Kinachoendelea Kenya kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Ma Dj’s

Ni siku ya pili sasa katika mitandao ya kijamii hususani kwa watu mbalimbali maarufu wa nchini Kenya wamekuwa wakiendesha kampeni maalum mtandaoni ya kupinga ukamatwaji wa MaDeej’s nchini ambapo hadi sasa imeripotiwa wamekamatwa wawili. Kampeni inayonedelea kwa sasa katika mitandao ya kijamii nchini Kenya ni #StopArrestingDjs maamuzi ambayo yamefikiwa na baadhi ya watu kufuatiwa kukamatwa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News