KIMBUNGA IRMA CHAENDELEA KULETA UHARIBIFU FLORIDA

FLORIDA, MAREKANI KIMBUNGA cha Irma kimevikumba  visiwa  Kusini mwa Jimbo la Florida,   Marekani kikiwa katika kiwango cha daraja la nne, kwa mujibu wa watabiri wa hali ya hewa. Kimbuga hicho kilitarajiwa kuvikumba visiwa na upepo wa kasi ya hadi kilomita 209 kwa saa kabla ya kuelekea Kaskazini Magharibi kwa ghuba ya Florida. Zaidi ya watu milioni 6.3 walitakiwa kuondoka Florida ambako kimbunga hicho kilitarajiwa   kuwa tishio kwa maisha ya wakazi wake. Tayari kimbunga cha Irma kimeharibu baadhi ya visiwa  vya Caribbean, ikiwamo Cuba, ambako takribani watu 25 wamefariki dunia....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News