KIM JONG-UN AKUTANA NA UJUMBE WA KOREA KUSINI

SEOUL, KOREA KUSINI | KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amewaandalia mkutano na chakula cha jioni wajumbe wawili kutoka Korea Kusini, ikiwa ni mara ya kwanza kiongozi huyo kukutana na ujumbe kama huo tangu aingie madarakani mwaka 2011. Shirika la Habari la Korea Kusini la Yonhap, liliripoti kuhusu mkutano huo likimnukuu msemaji wa rais wa Korea Kusini. Ujumbe huo uko Korea Kaskazini kwa mazungumzo yasiyo ya kawaida yenye lengo la kuanzisha mchakato kati ya Korea Kaskazini na Marekani. Uhusiano kati ya nchi hizo mbili umeboreka baada ya mashindano ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News