KIKWETE AWAPA MZUKA YANGA

NA MICHAEL MAURUS, MOROGORO MDAU wa karibu wa Yanga ambaye ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewataka wapenzi wa klabu hiyo kuweka tofauti zao pembeni na kuisapoti timu yao. Akizungumza wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na Mawenzi Market kwenye Uwanja wa Jamhuri juzi, Ridhiwan alisema binafsi alitoka Dar es Salaam na kutua mjini hapa ili kuishuhudia timu hiyo kutokana na mapenzi ya dhati aliyonayo kwa Wanajangwani hao. “Nimetoka Dar es Saalam na kuja hapa Morogoro kuwashuhudia vijana wetu, nadhani ni vema wapenzi wa Yanga kuisapoti timu yao...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News