Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda

Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya  CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP dhidi ya Rwanda katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.1.  Mohd Abrahman (Wawesha)2.  Ibrahim Mohd (Sangula)3.  Haji Mwinyi Ngwali4.  Abdulla Kheri (Sebo)5.  Issa Haidar Dau (Mwalala)6.  Abdul azizi Makame (Abui)7.  Mohd Issa (Banka)8.  Mudathir Yahya9.  Ibrahim Hamad Hilika10.                   Feisal Salum (Fei Toto)11.                   Suleiman Kassim “Seleembe” (Captain)SUB1.  Ahmed Ali (Salula)2.  Ibrahim Abdallah3.  Adeyum Saleh4.  Abdullah Haji (Ninja)5.  Seif Rashid (Karihe)6.  Kassim Suleiman7.  Hamad Mshamata8.  Khamis Mussa (Rais)9.  Amour Suleiman (Pwina)10.                   Abdul swamad Kassim (Hasgut)Mlinzi Mohd Othman Mmanga...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News