Kikosi cha Timu ya Jamuhuri Yaiwekea Gumu Timu ya Azam Kombe la Mapinduzi Cup Zanzibar Kulazimisha Sare ya Bila Kufungana.

Vikosi vua Timu ya Azam na Jamuhuri zikisubiri kukaguliwa na mgeni rasmin wa mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi Cup Zanzibar. kabla ya kuaza kwa mchezo huo kwa timu hizo. Katika mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi kundi B uliokuwa na upinzani mkubwa kwa mashumbulizi ya kila upande hadi kipindi cha pili timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana. Kipindi cha pili cha mchezo huo kilikuwa na mashambuliza ya kupokezana. Timu ya Azam itabidi kujilaumu kutokana na washambuali wake kupoteza nafasi nyingi za wazi na kuokolea na Kipa wa Timu ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News