KIGWANGALLA AMPA MTIHANI MGANGA MKUU PWANI

NA GUSTAPHU HAULE -Kibaha NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla, amemtaka Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Beatrice Byalugaba atumie timu ya wataalum   kufuatilia huduma ya upasuaji   katika vituo vya afya na hospitali mkoani humo  ziwe katika viwango vinavyohitajika. Pia ametoa miezi mitatu kwa mganga huyo kuhakikisha anasimamia marekebisho ya chumba cha upasuaji   katika kituo hicho   wananchi wanaotumia kituo hicho waweze kupata huduma bora. Dk. Kigwangala  alitoa kauli hiyo jana mjini Kibaha alipopokea vifaa tiba 831 vyenye thamani zaidi ya milioni 400...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News