KIFO CHA MWANAFUNZI NIT KILIVYOWAGUSA MASTAA BONGO

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIMANZI zimetawala kila kona ya nchi kufuatia kifo cha mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini aliyeuwawa kwa risasiĀ  Ijumaa wiki iliyopita wakati polisi wakiwatawanya wafuasi wa CHADEMA waliokuwa wakiandamana eneo la Mkwajuni, Kinondoni, Dar es salaam. Gumzo la kifo hicho cha kusikitisha kilichomkuta Akwilina aliyekuwa ndani ya Daladala akielekea Bagamoyo kupeleka barua za mafunzo kwa vitendo, limekuwa kubwa kiasi cha kusababisha salamu za pole zikimiminike kwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pande ya nchi. Mastaa ndani ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 24 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News