KICHUYA APANDA BEI UARABUNI

NA MAREGES NYAMAKA KICHUYA si wa mchezo mchezo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kwani dau lake limepanda maradufu na tayari huko Uarabuni ameshaanza kuwa lulu na kama mambo yakienda sawa, anaweza akaenda kukipiga nchini Misri. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Manara, alisema Klabu ya Al Ittihad ya Alexandria nchini Misri, ndiyo inayotajwa kuwania saini ya Kichuya, baada ya kumuona kwenye mashindano ya Cosafa yaliyofanyika nchini Afrika Kusini mwezi uliopita. Hata hivyo, pesa yao inaonekana kuwa ni ndogo, hivyo wamewaambia wakajitafakari...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News