Kibatala amnasua Sugu

BAADA ya kusoto mahabusu kwa siku 24 Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Mbeya imewaachia kwa dhamana washtakiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Watuhumiwa hao wanashtakiwa kwa kosa kutumia lugha ya fedheha kwa Rais John Magufuli ambapo walinyimwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News