Kesi ya mbunge Sugu ilivyotikisa jiji la Mbeya

 Kila aliyekuwa akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya jana, alilazimika kukaguliwa kabla ya kusikilizwa kwa kesi inayowakabili mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News