KESI YA KUPINGA SHERIA YA HUDUMA ZA VYOMBO VYA HABARI YAANZA KUUNGURUMA EALA

Na Eliya Mbonea, Arusha Mahakama ya Afrika Mashariki (EALA), imeanza kusikiliza kesi ya kupinga Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya mwaka 2016 iliyofunguliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT), wakishirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na Muungano wa Asasi zinazotetea haki za Binadamu (THRDC). Leo Jumanne Machi 13, mahakama hiyo imesikiliza makubaliano ya msingi ya kesi hiyo namba2, ya mwaka 2017 inayopinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya huduma ya Vyombo vya habari ya Mwaka 2016. Mbele ya Jopo la Majaji wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News