Kenya yaendelea kupambana na ukeketaji

Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji wanawake na wasichana kote duniani. Siku hii ambayo hujulikana kama ‘Internationa Day of Zero Tolerance for Female Genital Mutilation” ni tukio ambalo hufadhiliwa na Umoja wa Mataifa. Ukeketaji wanawake barani Afrika ni utamaduni wa enzi na enzi ambao unahisisha kukata baadhi ya sehemu za siri za wasichana wadogo na wanawake. Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa takriban wasichana na wanawake milioni 200 wamepitia utaratibu wa FGM,......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News