Keki iliyodumu zaidi ya miaka 100 bila kuharibika, imegunduliwa Antarctica

DUNIA hakika haiishiwi na mambo – na kila jambo lina namna yake ya kutokea liwe limesimuliwa au limeandikwa. Moja ya mambo ambayo yamekuwa gumzo kwa sasa ni hii Keki ambayo imegunduliwa katika moja ya majengo ya zamani huko Antarctica ikisemekana kuhifadhiwa kwa miaka zaidi ya 100. Licha ya keki hiyo kukaa kwa muda huo lakini inasemekana […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News