KAULI NNE TATA MWANAFUNZI UDSM ALIYETOWEKA

MWANDISHI WETU IKIWA zimepita siku saba tangu kutolewa taarifa za kutoweka kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo kabla ya kupatikana Mafinga wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa, kauli zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa umma na watu wengine zimeongeza utata wa mazingira ya tukio hilo. Mpaka sasa, baadhi ya watu waliotoa kauli kuhusu tukio hilo ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Juma Bwire na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Pamoja na viongozi hao, wengine...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News