Katika kitabu kipya, Bannon amlaumu Trump kuhusu Russia

Msaidizi wa zamani wa Rais Trump, Steve Bannon anasema ilikuwa kitendo cha "uhaini" na "kinyume cha uzalendo" kwa mtoto wa Rais na meneja wa kampeni yake kukutana na Warussi katikati ya kampeni ya mwaka 2016, kulingana na maelezo katika kitabu kipya....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News