Katibu wa Mambo ya Kale wa Oman Aendelea na Ziara Yake na Kutembelea Baraza la Wawakilishi na Kuzungumza na Mhe. Spika wa Baraza Zuberi Ali Maulid.

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akisalimiana na Katibu wa Mambo ya Kale wa Oman Mr. Salim Mohammed , alipofika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kwa mazungumzo na Spika na kuangalia shughuliza za Vikao vya Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati wa Ziara yake ya wiki moja Nchini Zanzibar. Waziri wa Habati Utali na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akimtambulisha Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid kwa Katibu wa Mambo ya Kale wa Oman Mr. Salim...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News