Katibu Mkuu wa Mambo ya Kale wa Oman Mr. Salim Mohammed Amaliza Ziara Yake Zanzibar na Kutembelea Jumba la Beit Al Jaib Zanzibar, Ambalo Litafanyiwa Matengenezo Makubwa na Serikali ya Oman.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi zawadi ya picha inayoonesha mandhari ya eneo la bustani ya forodhani Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Kale wa Oman Mhe. Salim Mohammed Al Mahrouk, baada ya kumaliza ziara yake ya Kiserikali Nchini Zanzibar na kupata fursa ya kutembea maeneo mbalimbali ya Historia ya Zanzibar.JENGO la kihistoria la Beit el ajab liliopo Forodhani Mjini Zanzibar linalotarajiwa kufanyiwa matengenezo makubwa na Serekali ya Oman baada ya kubomoka baadhi ya sehemu zake miaka michache iliyopita.WAZIRI wa Habari Utalii...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News