KATIBU MKUU WA CUF, MAALIM SEIF AMPONGEZA RIS MAGUFULI

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kwa kuiongoza nchi vizuri kwa mwaka uliopita wa 2017. Seif ametoa pongezi hizo katika salamu zake za mwisho wa mwaka ambapo alisema kwamba, kwa mwaka 2017, Rais Magufuli ameweza kuiongoza nchi vizuri kwa kudhibiti rushwa pamoja na ubadhirifu wa mali za umma. Akitolea ufafanuzi suala la makinikia, Seif alisema kuwa, Rais Magufuli ameweza kupigania rasilimali za nchi hasi madini ili kuhakikisha wananchi wote wanafaidika, hatua ambayo amefanikiwa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News