Karia aingia TFF kwa ushindi wa kimbunga

Rais mpya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo wa kura 95 na kuwabwaga wapinzani wake wanne alikuwa wa kwanza kula kiapo cha utiifu akifuatiwa na Makamu wake Michael Wambura aliyepata kura 85 akiwapiga bao wapinzani wake watatu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News